Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,366
masoud ki[emoji232] ..ni nouma..!!!
baba sizonje anamjua show zake...
baba sizonje anamjua show zake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rekebisha sasa kama umegundua kukoseaKweli mkuu nilikosea heading
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Tuseme tu Mpangala anachora kwa kutumia mikono pekee, na Kipanya anatumia kichwa na mikono.
Hili ndiyo jibu muafaka.Usifananishe chumvi na sukari,
Kila mmoja ana ladha yake na umuhimu wake.
compare and contrast, aliyeenda shule, na asiyeenda shule.pamoja na kwamba kipaji chakuzaliwa nacho hu prevail in most instancesHabari ya wikend wakuu......
Kuna hawa watu niliowataja hapo juu wote ni wachoraji wa katuni wazuri
Masoudy kipanya huyu huchora katuni kwenye gazeti la mwananchi ukiachilia mbali kama CEO wa Maisha plus katuni zake huwa zinafurasha sana........
Lakini huyu mwingine Nathan Mpangala huyu mara nyingi katuni zake huwa wakati taarifa ya habari ya ITV inaishia,nae katuni zake huwa ni nzuri........
Sasa yupi kati ya hawa ubunifu wake katika uchoraji huwa unakuvutia sana hasa ukizingatia wakati mwingine huwa na maudhui yanaendani mfano, michezo,siasa,uchumi n.k
Karibuni tujadili huku tukiukaribisha mwaka mpya......
Kwani cartoon kwa kiswahili inaitwaje?vibonzo na katuni kuna utofauti wenYe uelewa na hili tafadhar ?