Mass media

Mass media

majiyashingo

Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
44
Reaction score
2
Good sunday evening wapendwa watanzania wenzangu katika kujenga uchumi wa Taifa
Ndugu zangu mimi mwenzeni maji iko shingoni nimeshachoka kubeba Box.Sasa nimeona niwekeze kwenye news paper(Gazeti)Naombeni ushauri

Je tuchukue proffessional gazeti kama la mwananchi ambalo lina mambo yetu kuanzia ya biashara ,siasa na mambo mengine yote

Je ni kama waandishi wangapi wanatikiwa katika kufanikisha ufanisi?
Ninapendependelea nichukue waandishi wenye bachelor na masters je kwa sasa mishaara ya waandishi wa habari ni kiasi gani kwa mwezi?
Je kuna mtu yoyote mwenye utaalamu wa hya mambo anaweza kunipa summary ya nini na shillingi ngapi zingeweza kuhitajika .Mimi si mtaalamu wa haya mambo ila nina weza kufacilitate fund basi business ikajiendesha yenyewe ikiwa na wataalamu wa kutosha

Nashukuru kwa machango wenu
 
Ni wazo zuri,ila nahisi kama ungeenda pale Chuo Kikuu TSJ ukamuona Ayub Rioba ni mtu safi na simple sana.Atakusaidia.
Pia pongezi kwa wazo hilo,ila ujiandae kutembea na Helmet,maana siku hizi wenye kumiliki vyombo hivi roho mkononi na Acid.
Naachie wengine waje na michango yao,maana humu kun ma expert wa kila fani
 
Zanzibar Spices nashukuru sana mimi sipo hapo ila nitajitahidi kwa namna yoyote nipate mawasiliano ya huyo bwana.Piacha ya gazeti ningependa iwe na mambo kama haya ili liwe kivutio kwa kila rika na kwa kila fani

Politics

World(africa,Asia,USA,
Sport
Auto
movie
music
games
travel
health
business
Children
gossip column
Science and technology
food
Fashion and Beauty
Arts
Opinion
Home and Garden
 
Back
Top Bottom