Massage Course...

Massage Course...

kisogo

Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
63
Reaction score
60
Wakuu wapi naweza kupata course ya kufanya massage maana kila nikiwaza njemba iwe ina mshika shika mamiloo hapana aisee.
 
Dunia inakwenda kasi sana hii....
Huwa najiuliza kwamba, hivi kabla ya massage wazee wetu mbona waliweza kuwakanda wenza wao apsipo tatizo lolote.. na kwani kabisa mwanaume/mwanamke unawezaje kumruhusu mke/mume wako aende akashikweshikwe kipuuzi na watu wengine..!!??
 
Dada yangu ana raha sana....
 
Dunia inakwenda kasi sana hii....
Huwa najiuliza kwamba, hivi kabla ya massage wazee wetu mbona waliweza kuwakanda wenza wao apsipo tatizo lolote.. na kwani kabisa mwanaume/mwanamke unawezaje kumruhusu mke/mume wako aende akashikweshikwe kipuuzi na watu wengine..!!??
Ni upuuzi tu, mimi wife hata kutengenezwa kucha na njemba simruhusu
 
Nenda utube utapata course yakila aina
 
Dunia inakwenda kasi sana hii....
Huwa najiuliza kwamba, hivi kabla ya massage wazee wetu mbona waliweza kuwakanda wenza wao apsipo tatizo lolote.. na kwani kabisa mwanaume/mwanamke unawezaje kumruhusu mke/mume wako aende akashikweshikwe kipuuzi na watu wengine..!!??
Ndo maana Nataka nijufunze aisee swala la njemba kumshika shika mamiloo Hapana aisee
 
Back
Top Bottom