Massage hapa DSM

Massage hapa DSM

vp ulieza kwenda kule nlpoelekeza
Mkuu bado nimechomoka kidogo kwenda mapumzikoni nikirudi tu nitatia timu..
JF bana, so adicting yaani nilisema mapumziko no mtandao lkn najikuta nachungulia JF 🙂
 
Njoo arusha nikupatie mtu
Kweli wakati mwingine JF ni kama ule msemo wa ktk msafara wa mamba kenge wamo. Mtu anaibuka na kusema muhimbili, mara ohh sipo serious as if ananijua !!
Arusha nitapita one day labda tuwasiliane pembeni ili nikutafute.
 
Hivi Mwanaume inakuaje unafanyiwa Full massage na Mwanaume Mwenzio?
 
Hivi Mwanaume inakuaje unafanyiwa Full massage na Mwanaume Mwenzio?
Mie kwenye hii thread nimetaka dada !
Ila sijui labda wengine watajibu lkn ni sawa na kuuliza vipi utibiwe na dume, au kufanyiwa surgery, au vipi gynecologist awe dume?
 
Sio kweli, not a law !. Ni kama kulivyo na manesi wanaume na wa kike doing similar roles
Sasa, Wewe utaendaje ufanyiwe massage na wakiume mwenzio..!.....hata kama wafanya Massage wapo wa both Sexes, ila kweny huduma inaangaliwa "Law of Attraction" Opposite Sex,Attract each other...I hope so.
 
Duh, what I am saying sio sheria so jiongelee wewe na sio wengine. Sijui kama umewahi kwenda ktk hizi professional clinics na unajua kuna aina ngapiza massage lkn regardless kuna watu wana preferences zao na kuna watu hawajali gender.
 
Sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom