Basi bora tu kwenda Kepinski na kulipa dola 200 kwa professionals kuliko kwenda kununua stds kwa bei rahisi !!I'm deadly serious.
vp ulieza kwenda kule nlpoelekezaBasi bora tu kwenda Kepinski na kulipa dola 200 kwa professionals kuliko kwenda kununua stds kwa bei rahisi !!
Mkuu bado nimechomoka kidogo kwenda mapumzikoni nikirudi tu nitatia timu..vp ulieza kwenda kule nlpoelekeza
Wapi Arusha?Njoo arusha nikupatie mtu
mkuu barabara ya old bagamoyo, shuka na hiyo barabara kuanzia moroko, then njiani utaona vibao kadhaa wa kadhaa
Kweli wakati mwingine JF ni kama ule msemo wa ktk msafara wa mamba kenge wamo. Mtu anaibuka na kusema muhimbili, mara ohh sipo serious as if ananijua !!Njoo arusha nikupatie mtu
Mie kwenye hii thread nimetaka dada !Hivi Mwanaume inakuaje unafanyiwa Full massage na Mwanaume Mwenzio?
Massage, Mwanaume hawezi kufanyiwa na Mwanaume mwenzie....Ni Me na Ke.....Hivi Mwanaume inakuaje unafanyiwa Full massage na Mwanaume Mwenzio?
Massage, Mwanaume hawezi kufanyiwa na Mwanaume mwenzie....Ni Me na Ke.....
Sasa, Wewe utaendaje ufanyiwe massage na wakiume mwenzio..!.....hata kama wafanya Massage wapo wa both Sexes, ila kweny huduma inaangaliwa "Law of Attraction" Opposite Sex,Attract each other...I hope so.Sio kweli, not a law !. Ni kama kulivyo na manesi wanaume na wa kike doing similar roles
Sasa, Wewe utaendaje ufanyiwe massage na wakiume mwenzio..!.....hata kama wafanya Massage wapo wa both Sexes, ila kweny huduma inaangaliwa "Law of Attraction" Opposite Sex,Attract each other...I hope so.
Mmmmmh!!?? Shetani shindwaaaaJamani nataka kufanya full body massage hapa DSM wapi sehemu powa ?
Napenda always kusaidia wajasiliamali so kama kuna mtu anajua dada anayefanya shughuli hizi ni pm
Mmhh nn?Mmmmmh!!?? Shetani shindwaaaa
Sawa mkuu.Duh, what I am saying sio sheria so jiongelee wewe na sio wengine. Sijui kama umewahi kwenda ktk hizi professional clinics na unajua kuna aina ngapiza massage lkn regardless kuna watu wana preferences zao na kuna watu hawajali gender.