Massage ni danguro lililochangamka

Massage ni danguro lililochangamka

taboa

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2021
Posts
399
Reaction score
711
Nawasalimu!

Basi bhana siku ya ijumaa nimekaa Zangu ofisini mwili unaniuma sana, kuanzia kiuno mpaka mgongo, nikawaza nitafute sehemu nifanye massage.

Nikaingia Instagram kufatuta page zinazofanya huduma hizo nikabahatika kuipata moja iliyojirani na mitaa yangu, nikawacheki wahudumu kwa simu yao wakaniambia massage elf 30 wakanielekeza walipo huyo nikajongea mpaka maeneo hayo mdogo mdogo.

Nilipofika nilipokelewa na mabinti wawili nikasamiliana nao then nikaoneshwa room ya kwenda. Kufika kule nikavurishwa nguo nikabaki na kitaulo nikaanza kupewa huduma, nilichokigundua huduma zile hulenga pia kukuamsha kihisia ili wachote pesa zako, kweli bhana nikakandwa mgongon then nikageuzwa mbele Sasa daah mtoto akacheza mwili kuanzia chini akawa anakuja juu mpaka ikulu akaanza kuimassage Mimi namcheki tu, badae kahamia sehemu za juu ingawa hakuchukua mida akarudi tena ikulu kwa Sasa alicheza Napo mpaka ikulu ikanengewa "mnara".

Then akajisemea haya nishamaliza Ila kama unataka tunaweza kuubomoa huo "MNARA"either kwa kufanyishwa masterbation au blow job na hapo masterbation ananiambia 20, blow job 30 daah kiukweli sikuhitaji kufanya huduma ya zaidi iliyonipeleka ingawa haikuwa rahisi Ila nilikomaa kibishi nikaenda na MNARA wangu mpaka home, wakati niko pale walikuja wateja wengi sana nikawa nawasikia wanavyogugumia uko nikajua kinaumana uko...

Kwa yale niliyoshuhudia nikapata jibu kuwa massage ni DANGURO lililochangamka na usipokuwa makini utapigwa sana ela utashituka akili ikikurudia,Ila nitaenda next weekend nitajaribu blow job nije kuwapa mrejesho.
 
Kuna dada mmoja aligundua mume wake ni mteja mzuri wa massage parlour, alichofanya kwa siri alikwenda kuomba kazi lakini alikua mkweli alisema hana experience. Walimpa wiki moja ya training baada ya training hakurudi tena alianza kumfanyia mume wake nyumbani.
 
Yan ndo unagundua leo? [emoji1][emoji1]
Hapo lazima kuwe na happy ending acha ushamba..
Ebu nipe location na namba zao.
Eti happy ending ...kuna wengine wako dodoma aisee wale ndo balaaa....sitokuja kwenda kule tena.....Yani unatengenezewa mazingira ya kushawishika....

Kwanza picha la kikorea linaanza kabla hata ya kuvua nguo wanajipanga mabinti 6 eti uchague wa kukufanyia massage ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....Aiseee hii dunia hapana
 
Kuna dada mmoja aligundua mume wake ni mteja mzuri wa massage parlour, alichofanya kwa siri alikwenda kuomba kazi lakini alikua mkweli alisema hana experience. Walimpa wiki moja ya training baada ya raining hakurudi tena alianza kumfanyia mume wake nyumbani.
Mmmh huko kwenye training watu hawakula mbususu kwel ? Na mijamaa tofauti tofauti kwel
 
eti happy ending ...kuna wengine wako dodoma aisee wale ndo balaaa....sitokuja kwenda kule tena.....Yani unatengenezewa mazingira ya kushawishika....

kwanza picha la kikorea linaanza kabla hata ya kuvua nguo wanajipanga mabinti 6 eti uchague wa kukufanyia massage ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....Aiseee hii dunia hapana

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Sita tu?

Mzee kuna chimbo ukiingia mida mizuri unakuta mabinti 20 hivi wanakurembulia uchague. Kila sampuli. Unaweza fia pale.
 
Back
Top Bottom