Massage zipo maeneo gani hapa dar

Massage zipo maeneo gani hapa dar

Mikocheni zimejaa kibaoooo huku. Mpaka na good ending[emoji23][emoji23]
Kuna jamaa angu alikua anapita na gari akaniona nakatiza kwa mguu mitaa ya hizo massage akajua na miye mtumishi wa huko bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui ni kwann huku mikocheni wameamua kugeuza sana nyumba zao into this busness. Huenda inalipa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawashukuru sna wote mlionisaidia kunielekeza mahali ambapo massage zinapatikana, nimepata huduma hiyo maeneo hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom