Massanza: GSM amefanya ligi yetu kuwa kama EPL

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
[emoji625]"Hii ndio moja ya faida ya timu zote kupata udhamini mnono. Ushindani unakuwa juu sana, Hata intensity ya Ligi yetu inazidi kupanda kila siku, GSM ameongeza thamani ya Ligi yetu. NBC Premier League imeshaanza kufanana na EPL.

[emoji625]Anafungwa yeyote mahali popote." "Hongera sana TP Lindanda. Azam ni mshindani wetu wa karibu sana kwenye msimamo wa Ligi. Akipoteza nafurahi. Leo nimefurahi sana , Adui mwombee njaa!"
Hussein Massanza - Afisa habari Singida Black Stars

NB: ni kweli kabisa....vilavu vingi vilipitia economic hardship before GSM sponsorship
1739690832807.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
[emoji625]"Hii ndio moja ya faida ya timu zote kupata udhamini mnono. Ushindani unakuwa juu sana, Hata intensity ya Ligi yetu inazidi kupanda kila siku, GSM ameongeza thamani ya Ligi yetu. NBC Premier League imeshaanza kufanana na EPL.

[emoji625]Anafungwa yeyote mahali popote." "Hongera sana TP Lindanda. Azam ni mshindani wetu wa karibu sana kwenye msimamo wa Ligi. Akipoteza nafurahi. Leo nimefurahi sana , Adui mwombee njaa!"
Hussein Massanza - Afisa habari Singida Black Stars

NB: ni kweli kabisa....vilavu vingi vilipitia economic hardship before GSM sponsorship View attachment 3237495

Huyu kenge nae anatafuta kick kibwege. Haoni jinsi timu za gsm group zinavyoachia magoli ovyo kwa kaka yao? Amuulize rashid hadi akasema ligi dhaifu
 
Wakati GSM ameingia mkataba wa kudhamini timu zote za ligi kuu, simba walilalamika na waka Gomea udhaminu uo.
Leo GSM ameingia udhamin na baadhi ya vilabu Simba wana lalamika.
Mbumbumbu fc wamechanganyikiwa hawajui ata wanataka nini.
Lakini club nyingi zimenufahika

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
[emoji625]"Hii ndio moja ya faida ya timu zote kupata udhamini mnono. Ushindani unakuwa juu sana, Hata intensity ya Ligi yetu inazidi kupanda kila siku, GSM ameongeza thamani ya Ligi yetu. NBC Premier League imeshaanza kufanana na EPL.

[emoji625]Anafungwa yeyote mahali popote." "Hongera sana TP Lindanda. Azam ni mshindani wetu wa karibu sana kwenye msimamo wa Ligi. Akipoteza nafurahi. Leo nimefurahi sana , Adui mwombee njaa!"
Hussein Massanza - Afisa habari Singida Black Stars

NB: ni kweli kabisa....vilavu vingi vilipitia economic hardship before GSM sponsorship View attachment 3237495

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sisi tutawekeza kwa marefa
Ubaya ubwela
 
Back
Top Bottom