Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Mtaharibu soka mkuuSisi tutawekeza kwa marefa
Ubaya ubwela
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaharibu soka mkuuSisi tutawekeza kwa marefa
Ubaya ubwela
Hapana mkuu...GSM ni Tanzania based investmentWakadhamini hadi timu za klabu bingwa ili waingie robo fainali
Jux na SimbaLabda Jux ndo anaenjoy sio mimi
HIVI GSM AMEMDHAMINI SIMBA KOKOTE? MBONA ALIACHIA MABAO KAMA YOTE KWA KAKA YAKE?Huyu kenge nae anatafuta kick kibwege. Haoni jinsi timu za gsm group zinavyoachia magoli ovyo kwa kaka yao? Amuulize rashid hadi akasema ligi dhaifu
Simba anakula kiasi gani kea Gsm? Maana alikula kono la nyani?.Huyu kenge nae anatafuta kick kibwege. Haoni jinsi timu za gsm group zinavyoachia magoli ovyo kwa kaka yao? Amuulize rashid hadi akasema ligi dhaifu
Huu ni mtego, kwanini anasifiwa GSM badala ya Azam Media? Makolo wanatengeneza agenda.Wakati GSM ameingia mkataba wa kudhamini timu zote za ligi kuu, simba walilalamika na waka Gomea udhaminu uo.
Leo GSM ameingia udhamin na baadhi ya vilabu Simba wana lalamika.
Mbumbumbu fc wamechanganyikiwa hawajui ata wanataka nini.
Ila unayepambana naye hapo kileleni hajadhaminiwa na GSM pamoja na kwamba Yanga inadhamini timu zingine na kununua mechi zao.HIVI GSM AMEMDHAMINI SIMBA KOKOTE? MBONA ALIACHIA MABAO KAMA YOTE KWA KAKA YAKE?
MECHI ZA HV KARIBUNI chasambi FC MBONA AMEPIGWA NA YANGA BACK TO BACK?
Nikwelo...alete jibuSimba anakula kiasi gani kea Gsm? Maana alikula kono la nyani?.
Kumbuka sio Kila timu ilikuwa inapata wadhaminiGSM walikuja na Plan ya Yanga kumiliki timu zote ndogo kwa udhamini wao ili waendelee kuwafunga ili wawe mabingwa. Ni mwendawazimu tu ataamini GSM inakuza ligi, kabla hata GSM kuna vilabu vinapata udhamini wa makampuni ya kubet.
Huwezi kumfunga mtu anayekudhamini jezi,viatu na hata nauli za kwenda kucheza naye.
TFF walileta ujinga mkubwa kwenye ligi kumleta GSM
Tunafuata maneno ya saed ni ligi ni dhaifu akifika kimataifa wanabutuliwa![emoji625]"Hii ndio moja ya faida ya timu zote kupata udhamini mnono. Ushindani unakuwa juu sana, Hata intensity ya Ligi yetu inazidi kupanda kila siku, GSM ameongeza thamani ya Ligi yetu. NBC Premier League imeshaanza kufanana na EPL.
[emoji625]Anafungwa yeyote mahali popote." "Hongera sana TP Lindanda. Azam ni mshindani wetu wa karibu sana kwenye msimamo wa Ligi. Akipoteza nafurahi. Leo nimefurahi sana , Adui mwombee njaa!"
Hussein Massanza - Afisa habari Singida Black Stars
NB: ni kweli kabisa....vilavu vingi vilipitia economic hardship before GSM sponsorship View attachment 3237495
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hamkuelewa kiinglishTunafuata maneno ya saed ni ligi ni dhaifu akifika kimataifa wanabutuliwa!
Naam, Kifupi sasa hivi matajiri wengi wapo kwenye soka ila Wamnyonye Azam Media, Kesho na keshokutwa wakiacha Ligi wote watakimbia hao.Huu ni mtego, kwanini anasifiwa GSM badala ya Azam Media? Makolo wanatengeneza agenda.