Hata yeye anafurahia mchango wa GSMSAYVILLE akiuona tu huu uzi, atanuna.
Ni EPL ( ligi ya england mkuuQmamamamamamamaee kama EP nini?
Huyu kenge nae anatafuta kick kibwege. Haoni jinsi timu za gsm group zinavyoachia magoli ovyo kwa kaka yao? Amuulize rashid hadi akasema ligi dhaifu[emoji625]"Hii ndio moja ya faida ya timu zote kupata udhamini mnono. Ushindani unakuwa juu sana, Hata intensity ya Ligi yetu inazidi kupanda kila siku, GSM ameongeza thamani ya Ligi yetu. NBC Premier League imeshaanza kufanana na EPL.
[emoji625]Anafungwa yeyote mahali popote." "Hongera sana TP Lindanda. Azam ni mshindani wetu wa karibu sana kwenye msimamo wa Ligi. Akipoteza nafurahi. Leo nimefurahi sana , Adui mwombee njaa!"
Hussein Massanza - Afisa habari Singida Black Stars
NB: ni kweli kabisa....vilavu vingi vilipitia economic hardship before GSM sponsorship View attachment 3237495
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Lakini club nyingi zimenufahikaWakati GSM ameingia mkataba wa kudhamini timu zote za ligi kuu, simba walilalamika na waka Gomea udhaminu uo.
Leo GSM ameingia udhamin na baadhi ya vilabu Simba wana lalamika.
Mbumbumbu fc wamechanganyikiwa hawajui ata wanataka nini.
haya tutamiona
Lkn una enjoy contribution ya GSM kwenye soka la TZTuko busy na shughuli za harusi., sina muda kuwasikiliza hao wafujaji wa kodi zetu. Yaani nikae nimsikilize huyo msaidizi wa Ali Kamwe?
Labda Jux ndo anaenjoy sio mimiLkn una enjoy contribution ya GSM kwenye soka la TZ
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sisi tutawekeza kwa marefa[emoji625]"Hii ndio moja ya faida ya timu zote kupata udhamini mnono. Ushindani unakuwa juu sana, Hata intensity ya Ligi yetu inazidi kupanda kila siku, GSM ameongeza thamani ya Ligi yetu. NBC Premier League imeshaanza kufanana na EPL.
[emoji625]Anafungwa yeyote mahali popote." "Hongera sana TP Lindanda. Azam ni mshindani wetu wa karibu sana kwenye msimamo wa Ligi. Akipoteza nafurahi. Leo nimefurahi sana , Adui mwombee njaa!"
Hussein Massanza - Afisa habari Singida Black Stars
NB: ni kweli kabisa....vilavu vingi vilipitia economic hardship before GSM sponsorship View attachment 3237495
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Aaah hapana mkuu ....check ligi yetu current ni ya 6Labda Jux ndo anaenjoy sio mimi