Massanza: GSM amefanya ligi yetu kuwa kama EPL

Huyu kenge nae anatafuta kick kibwege. Haoni jinsi timu za gsm group zinavyoachia magoli ovyo kwa kaka yao? Amuulize rashid hadi akasema ligi dhaifu
HIVI GSM AMEMDHAMINI SIMBA KOKOTE? MBONA ALIACHIA MABAO KAMA YOTE KWA KAKA YAKE?
MECHI ZA HV KARIBUNI chasambi FC MBONA AMEPIGWA NA YANGA BACK TO BACK?
 
Huyu kenge nae anatafuta kick kibwege. Haoni jinsi timu za gsm group zinavyoachia magoli ovyo kwa kaka yao? Amuulize rashid hadi akasema ligi dhaifu
Simba anakula kiasi gani kea Gsm? Maana alikula kono la nyani?.
 
Wakati GSM ameingia mkataba wa kudhamini timu zote za ligi kuu, simba walilalamika na waka Gomea udhaminu uo.
Leo GSM ameingia udhamin na baadhi ya vilabu Simba wana lalamika.
Mbumbumbu fc wamechanganyikiwa hawajui ata wanataka nini.
Huu ni mtego, kwanini anasifiwa GSM badala ya Azam Media? Makolo wanatengeneza agenda.
 
GSM walikuja na Plan ya Yanga kumiliki timu zote ndogo kwa udhamini wao ili waendelee kuwafunga ili wawe mabingwa. Ni mwendawazimu tu ataamini GSM inakuza ligi, kabla hata GSM kuna vilabu vinapata udhamini wa makampuni ya kubet.

Huwezi kumfunga mtu anayekudhamini jezi,viatu na hata nauli za kwenda kucheza naye.
TFF walileta ujinga mkubwa kwenye ligi kumleta GSM
 
HIVI GSM AMEMDHAMINI SIMBA KOKOTE? MBONA ALIACHIA MABAO KAMA YOTE KWA KAKA YAKE?
MECHI ZA HV KARIBUNI chasambi FC MBONA AMEPIGWA NA YANGA BACK TO BACK?
Ila unayepambana naye hapo kileleni hajadhaminiwa na GSM pamoja na kwamba Yanga inadhamini timu zingine na kununua mechi zao.
 
Kumbuka sio Kila timu ilikuwa inapata wadhamini

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tunafuata maneno ya saed ni ligi ni dhaifu akifika kimataifa wanabutuliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…