Lol! Nizile kwanza halafu nianze KULA. Lete chapati b...Ili ule na KULA? Mjinga sana wewe b...
Chausiku una mambo!Sio Yanga B Huyo ni Mke wetu kabisa
😅😅😅Una maanisha Simba wameuza mechi??
SIMBA NI YANGA B
Baada ya kikosi cha Simba Sc, kuruhusu kichapo cha mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya mtani wake Yanga Sc, Afisa Habari wa Singida Fountain Gate, Hussein Massanza ameibuka na kusema kuwa ni rasmi kuwa watanzania na wanasoka watakua wameitambua Yanga B kwenye soka la ‘bongo’ ni timu gani.
Massanza amesema kuwa kumekuwa na kauli nyingi zinazosema kuwa Singida FG ni Yanga B kila wanapopoteza mchezo dhidi ya Yanga hivyo ameeleza kuwa Simba nayo imepoteza mchezao kwa goli nyingi ambazo wao kama Singida hawajahi kufungwa na Yanga hivyo basi Simba ndiyo Yanga B.
“Sasa nadhani Yanga B mmeiona, sisi huwa tunasingiziwa tu, maana tukipoteza mchezo dhidi ya Yanga tunaitwa Yanga B, je hawa waliopoteza kwa idadi ya goli 5-1 tuwaite vipi?,” amesema Massanza.
Hamsa [emoji113] 5 G
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 hahaaaaaaaaaaaa Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya.SIMBA NI YANGA B