Hahahahha! Ukiendelea kumuuliza atakutukana! Maana week yote hii wana hasira sanaa.Kuna mtu nilimuuliza jana anaweza kumaliza chapati tano hajanijibu mpaka sasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahha! Ukiendelea kumuuliza atakutukana! Maana week yote hii wana hasira sanaa.Kuna mtu nilimuuliza jana anaweza kumaliza chapati tano hajanijibu mpaka sasa!
bado hawajasema!mpk waseme yaaaniAu hao Simba na wenyewe watuambie kama walipokea bahasha kutoka GSM, au la.
Akinitukana nampa talaka ya wiki moja, lazima akili zimkae vizuri.hahahahha!ukiendelea kumuuliza atakutukana!maana week yote hii wana hasira sanaa
Ni kweli brother amezungumza Kwenye hii clip 👇🏿SIMBA NI YANGA B
Baada ya kikosi cha Simba Sc, kuruhusu kichapo cha mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya mtani wake Yanga Sc, Afisa Habari wa Singida Fountain Gate, Hussein Massanza ameibuka na kusema kuwa ni rasmi kuwa watanzania na wanasoka watakua wameitambua Yanga B kwenye soka la ‘bongo’ ni timu gani.
Massanza amesema kuwa kumekuwa na kauli nyingi zinazosema kuwa Singida FG ni Yanga B kila wanapopoteza mchezo dhidi ya Yanga hivyo ameeleza kuwa Simba nayo imepoteza mchezao kwa goli nyingi ambazo wao kama Singida hawajahi kufungwa na Yanga hivyo basi Simba ndiyo Yanga B.
“Sasa nadhani Yanga B mmeiona, sisi huwa tunasingiziwa tu, maana tukipoteza mchezo dhidi ya Yanga tunaitwa Yanga B, je hawa waliopoteza kwa idadi ya goli 5-1 tuwaite vipi?,” amesema Massanza.
Hamsa [emoji113] 5 G
Sasa si wamtimue huyo Mwenyekiti wao!! Kwa nini wamuonee Robertinho ambaye walikuwa wanampangia mpaka kikosi cha wachezaji wa kuanza!!!!Naskia ndo wanamsakama mwenyekiti kuwa kawasaliti
Sawa Tosa boy😂😂😂😂Nackia hawaamini mpaka Sasa ...[emoji23][emoji113]
Upo vizur mbona tosa pale sikukuona ukiwa yanga😁😁😁Daah
Hapa Simba wameingia kwenye mtego....ubingwa kwaheri
Aache uhuni wanajua walichokifanya.SIMBA NI YANGA B
Baada ya kikosi cha Simba Sc, kuruhusu kichapo cha mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya mtani wake Yanga Sc, Afisa Habari wa Singida Fountain Gate...
Una maanisha Simba wameuza mechi??Aache uhuni wanajua walichokifanya.
Waache timu zisshindane kwa soka sio ushawishi unaosababisha wachezaji wanauza mechi.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hili swali lilitakiwa kuulizwa huku chapati tano zikiwa mezani, ili uone kama zitaisha au zitabaki. Iko hivyo b...Kuna mtu nilimuuliza jana anaweza kumaliza chapati tano hajanijibu mpaka sasa!
Ili ule na KULA? Mjinga sana wewe b...Hili swali lilitakiwa kuulizwa huku chapati tano zikiwa mezani, ili uone kama zitaisha au zitabaki. Iko hivyo b...
Ova