INAUZWA Massey Ferguson 135 na Massey Ferguson 158 Zinauzwa

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,433
Reaction score
1,176
Thanks [emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi phrase "hazijatumika Tanzania" huwa ina umuhimu gani kwenye matangazo ya aina hii?
Watanzania matumizi yetu mabaya, hatufanyi sevis na matengenezo yanayostahili kwa wakati. Kwa hiyo ukiandika haijatumika kwa mbongo unampa mnunuzi mbongo imani kubwa kua chombo bado kizima.
 
Bora zingetumika Tanzania....ila kama zimetumika KENYA ni hatari zaidi.
 
Hivi phrase "hazijatumika Tanzania" huwa ina umuhimu gani kwenye matangazo ya aina hii?
Ndio ukweli hazijatumika Tanzania--hivyo vifaa vyake bado ni original--Tanzania spare za kuunga unga ni nyingi--na hazina uhakika.
Used in Tanzania ni presha za kujitafutia kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…