blacksamurai
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 387
- 646
Inategemea na aliekulimia pia, unaweza kulimia hata new holland ya horse power 90 na ikatoka ujinga na mwingine akalimia swaraj ya horse power 60 na akalima shamba vizuri sana. Japo kuna facts nyingine zinachangia shamba kulimwa vizuri au vibaya. Na watu wengi wanasahau uwezo wa dereva
Cheki na New Holland pia iko vizuri. Nililima na Massey vs New Holland, New Holland inafunika mpaka raha jani lotee linazikwa