Massimilliano Allegri kocha mpya wa Arsenal

Massimilliano Allegri kocha mpya wa Arsenal

Euphransia

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
937
Reaction score
778
Hatimae bodi ya klabu ya Arsenal imekamilisha mazungumzo Na kocha wa klabu ya Juventus ya Italia Juu ya kumpata kocha wake Massimiliano Allegri, mara baada ya msimu huu wa ligi kumalizika.

Kocha huyo anachukua nafasi ya kocha wa Arsenal Mzee Wenger.

Chanzo: Metro.com
 
Bora huyu msenge aende tu
Angalqu wat tupate ucngz
 
8832fe7a6a7bd32af145f770853ca765.jpg


Gossip
 
Hatimae Bodi ya klabu ya Arsenal imekamilisha mazungumzo Na kocha wa klabu ya Juventes ya Italia Juu ya kumpata kocha wake Max Allegro Mara baada ya msimu huu wa ligi kumalizika.Kocha Hugo anachukua nafasi ya kocha wa Arsenal Mzee Wenger.
Chanzo: Metro.com
Just a verbal agreement... Hawajafika mwisho.
Kila la kheri kwenye mchakato huu.
 
Bora iwe ivyo bhana ..seriously huyu babu aende tu jamani..
Gunner's til i die...
 
Back
Top Bottom