Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Hatimae bodi ya klabu ya Arsenal imekamilisha mazungumzo Na kocha wa klabu ya Juventus ya Italia Juu ya kumpata kocha wake Massimiliano Allegri, mara baada ya msimu huu wa ligi kumalizika.
Kocha huyo anachukua nafasi ya kocha wa Arsenal Mzee Wenger.
Chanzo: Metro.com
Kocha huyo anachukua nafasi ya kocha wa Arsenal Mzee Wenger.
Chanzo: Metro.com