Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Just a verbal agreement... Hawajafika mwisho.Hatimae Bodi ya klabu ya Arsenal imekamilisha mazungumzo Na kocha wa klabu ya Juventes ya Italia Juu ya kumpata kocha wake Max Allegro Mara baada ya msimu huu wa ligi kumalizika.Kocha Hugo anachukua nafasi ya kocha wa Arsenal Mzee Wenger.
Chanzo: Metro.com
Gossip !
Gossip
Umeona tag hiyo?Gossip !
Kwa lipi?Mtamkumbuka Wenger.
Siku zote usiogope changes mkuu... Binfsi namshukuru kwa mengi aliotufanyia but sasa wacha tufanye mabadiliko tuMoja ya dalili za kiama wenger kuondoka pale
Lazima tumkumbuke kwa kufungwa bao nane na man u afadhali aende hata leoMtamkumbuka Wenger.