Mastaa 7 Bongo wasio na skendo

Mastaa 7 Bongo wasio na skendo

Hivi na madume wanarembua na mapozi ya madimpoz kama ommy??au ndo urembo wa kisasa kwa midume ya dar?
 
Huyo dax kumbe ni mbongo,nilimuona akiwa judge kwenye britain next top model
 
  • Thanks
Reactions: MC7
uyo bwege c kaandika use*ge
Hata kama !! Ni vizuri kubishana kwa hoja na facts!!..sasa matusi ya hivi hayaoneshi ukomavu wa fikra!!...
Kwan ww unahasira na yupi kati ya hao??
Maana naona povuuu[emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Back
Top Bottom