Mastaa 7 Bongo wasio na skendo

Wote hao washawahi kusemwa ni kuku watamu(mchelemchele)...kuna kitu umekimaanisha najua...
 
Sasa yule Senga comedian ana skendo gan mbona hujamweka?
 
Alafu mbona diamond hana skendo jamani
Kwani kumtema sepenga ndio skendo?
 
Ukakasi,, mleta mada utakuwa na sababu zako,, hapo mwanaume labda ni mmoja tu..
 
Mbona ni watoto wazuri wote uloweka hapo mkuu
 
Mbona hapo wengi wana kashfa za ushoga? Hemed hadi alijitangaza...
 
Bibie Ben Kinyaiya ananiachaga hoi kweli. Pozi zake tu, utajuwa huyu ni mshikishwa ukuta na mwenzie Bi Ommy Dimples. Kweli mleta mada wewe ni Ze Comedy wa uhakika.
 
Ray ana kashfa ya kujichubua. Mwaka 2012 hemed alipost picha akiwa kapakatwa na dume na kuandika maneno ya kwamba yeye ni kuku mtamu.Dimpoz nae ana kashifa ya kuomba pumzi ya diamond ipulize kisogo chake so ungefikiria vizuri halafu wengine sio mastar hata umewaweka tu kwa vile unawaonaga sana wewe.

Kulinda heshima yako rudia list upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…