Mastaa acheni Wivu kwa Hamisa mobetto

Mastaa acheni Wivu kwa Hamisa mobetto

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Jamani kwani hatujui kuwa mastaa wengi wa kike bongo walikua na ndoto ya kuzaa na diamond? Sio WEMA, UWOYA, LULU, JOKATE, WOLPER, TUNDA, AUNTY EZEKIEL na mastaa wengine kibao walikua wanalilia fursa ya kuzaa na KIVURUGE, Sasa mwenzenu hamisa bahati imemuangukia Mnaanza kumuonea KINYONGO mtoto wa watu, najua kuna mastaa wanatamani leo kesho hamisa au mtoto wake wafe, yani wana chuki ya wazi kwa hamisa mpaka wanashindwa kujivunga, Acheni mwenzenu ale bata, nyie mlijifanya mnakula ujana wengine mkatoa mimba fake leo mwenzenu yamemnyookea mnaanza wivu.

Kuanzia Diamond alivyotangaza kumnunulia hamisa RAV 4 na laki tano kwa wiki akina ndumi la kuwili hawakupata usingizi, ndo mtajibeba, mwenzenu ndo maisha kayapatia, na juzi katoka Dubai kufanya shopping ya duka lake jipya ambapo mtaji kapewa na KIVURUGE aka baba Tiffah, sasa nyie mnadhani mkimsusia hamisa sherehe zake mnadhani ndo mnamkomesha?

Haya na wewe hamisa uachane na domo sasa, kama ulitaka CHILD SUPPORT na umepata child support ya maana, sasa uwaache wenzio na ndoa yao kwa amani, tunajua humpendi kivuruge ila unapenda pesa zake na umefanikwa mxiee.
 
Back
Top Bottom