Mastaa Ambao Washalala Na Kim Kardashian

Mastaa Ambao Washalala Na Kim Kardashian

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Hebu mwanzo tuweke wazi hapa kabla hatuja dondosha list nzima ya wanaume aliokuwa nao Kim Kardashian, hatuwezi kusema Kim ni [ingiza neno lako hapa] kwa kuwa na mahusiano na wanaume 9 kwa muda wa miaka 33.

Unaweza kumhukumu staa huyu kwa kuwa na ndoa mbili za kuvunjika, na pia ule wakati alipotoa video ya ngono ya Kim Kardashian. Lakini kwa ujumla mwanadada huyu ni mstaarabu mwenye kutulia na mume mmoja.

Kuwa na wachumba 9 kwa muda wa zaidi ya mwongo moja na nusu....ni jambo la kawaida kwa wengine.

Kim ameweza kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wengine (Gabriel Aubry, Nick Lachey) lakini hio list hatutaingiza hapa ndani.

Kutoka tangu ule wakati ambapo staa huyu alikuwa hajulikani, hadi kwa yule aliyeigonga wa kwanza hadi wasasa...waweza kumkumbuka mmoja?

Cheki list ya mastaa 9 ambao washawahi kuwa na Kim Kardashian maishani mwake:

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]T.J Jackson, mpwa wa Michael. Huyu ndie mpenzi wa Kim wa kwanza kila kitu.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Damon Thomas. Bwana wa kwanza wa Kim aliyesahaulika 2000-04[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Nick Cannon. 06-07. Wakati huu walijivinjari kwa muda[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]The Game anapinga kuwa na mahusiano na Khloe, lakini Kim alikuwa naye[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Ray J. Kim anamshukuru Ray kwa kutoa filamu ya ngono. Imemfanya kuwa supastar[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Baada ya Ray kuingonga mara ya kwanza, Reggie Bush alichukua uskani. Mahusiano yao yalidumu[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Dallas Cowboys aliweza kuweka uhusiano wa nguvu na Kim, lakini wa mbali[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kris Hamphries. Walioana kwa siku 72 kabla Kim kumtema jamaa huyu[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kanye West amefunga ukurasa kwa kumpatia Mtoto na pia kumvisha pete. Mahusiano yao yatadumu kweli?[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Credit: bkuHABARI Blog
 
Mmmhhhh kumbe hata mie wa mwanzo nisiwahesabu eti,the game hua namkubali sana halaf anapenda wazee wa kufoka fokaa
 
mods come this way, kuna uzi unahitaji kukaguliwa kuona kama una-fit viwango vya JF.
I m sorry for the victim.
 
Huyu mwanamke kwa sasa ni mke wa mtu siyo vizuri kumuongelea wala kumtaja jina wabongo tubadilike just imagine ni mke wake au mama ako how could you feel kuna watu wa kuwaongelea siyo wake za watu. Just for advice and not blah blah.
 
Aisee aje mtu hapa atupe list ya Wanaume waliokwisha lala na Wema Sepetu
 
mods come this way, kuna uzi unahitaji kukaguliwa kuona kama una-fit viwango vya JF.
I m sorry for the victim.

Hapa sioni tatizo...Kim mwanzo anasherehekea kuona habari kama hizi,,,udaku ndio humlisha huyu mwanadada
 
Huyu mwanamke kwa sasa ni mke wa mtu siyo vizuri kumuongelea wala kumtaja jina wabongo tubadilike just imagine ni mke wake au mama ako how could you feel kuna watu wa kuwaongelea siyo wake za watu. Just for advice and not blah blah.

hivi Kim akiskia kuna watu bongo wanafuatilia mambo yake si ni shukrani kwake.....habari kama hii ndio yazidi kunifanya nifuatilizie mambo yake...

tatizo la kuwa celeb ni hili.
 
Aisee huyu Nick Canon inaonekana alipata umaarufu mda mrefu,maana ametembea na wanawake maarufu wa ukweli,imagine Mariah Carey anamtosa superstar kama Eminem kisa huyu bhana mdogo
 
Chezea mikonga ya ma black...kanye atakuwa anampa lile lenyewe mpk kuzaa nae...ila kim hatabiriki utashangaa anakuwa na kanye miez2 thn anamtema kaa kohozii la juzi
 
mbona tisa wa kawaida tu? kuna dada zetu humu wana miaka chini ya 25 ila idadi yao wanajaza bus. muacheni dada wa watu mwenzenu anatengeneza pesa
 
She always 'go black'...except kwa Kris Humphreys!
 
sijui kwa nini kanye west namchukulia kabahatisha kumchukua kim...reggie bush ndo mnyamwezi aliyemgonga kim ninayemkubali
 
sijui kwa nini kanye west namchukulia kabahatisha kumchukua kim...reggie bush ndo mnyamwezi aliyemgonga kim ninayemkubali

kanye ndo mnyamwezi anayeweza kukaa na kim na sio hao wengine...

Alafu ni washkaji kitambo sanaa kuna wakati fulani nishamuona yeezus kwenye show yao...
 
Back
Top Bottom