Donpela
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 2,040
- 592
blaza hua una fantasize juu ya kim nin////:biggrin1:Huyu mwanamke kwa sasa ni mke wa mtu siyo vizuri kumuongelea wala kumtaja jina wabongo tubadilike just imagine ni mke wake au mama ako how could you feel kuna watu wa kuwaongelea siyo wake za watu. Just for advice and not blah blah.
kama wampigia pu..lii uspaniki ngoja tumtete kidogo then tutamrudisha in your fantasy dream:A S thumbs_up: