blaza hua una fantasize juu ya kim nin////:biggrin1:Huyu mwanamke kwa sasa ni mke wa mtu siyo vizuri kumuongelea wala kumtaja jina wabongo tubadilike just imagine ni mke wake au mama ako how could you feel kuna watu wa kuwaongelea siyo wake za watu. Just for advice and not blah blah.
Inaonekana anapenda saana black guys...i wonder whats the secret behind?
labda kwakuwa simzimiki kanye ndo maana....hana muonekano wa kinyama ana kuonekano flani wa kilocalkanye ndo mnyamwezi anayeweza kukaa na kim na sio hao wengine...
Alafu ni washkaji kitambo sanaa kuna wakati fulani nishamuona yeezus kwenye show yao...
blaza hua una fantasize juu ya kim nin////:biggrin1:
kama wampigia pu..lii uspaniki ngoja tumtete kidogo then tutamrudisha in your fantasy dream:A S thumbs_up: