Mxxxxx
Umewasahau petiti mani,Romy jones
Yani kama mimi hasa hao wakiume bora huyo wa kike maana jinsia inamruhusu.
mimi simpendi mrisho mpoto anajisikia sana halafu ana ubrazameni flani wa kishoga shoga.......
Huyo no 2 no comments.Kuna watu ambao nikionaga habari zao tu huwa nakunja ndita,nawapenda tu kama binadam wenzangu but siwapendi kama 'Public figure',tabia zao or the way walivyoupata ustaa wao vinanifanya nisiwakubali,hawa ni baadhi;
1. Hemedy: Jamaa ni attention seeker,anatabia za kikekike + za kishoga,anapenda kujisifia ujinga.
2. Diva wa Cloudz: Attention seeker,yaani yuko radhi kufanya chochote kibaya or kizuri ilimrad azungumziwe(kama Wema Sepetu,but sema watu hawanaga time naye wanampotezea tu),pia ni fake sana anapenda uzungu kupitiliza.
3. Ney Wa Mitego: Huyu hanaga uwezo wa kutunga wimbo ukahit bila kutaja majina ya mastaa au kuongea vitu vya ajabu ndani yake ili kupata attention,yaani sijawahi kumkubali kabisa.Alinichefua tokea alipotoaga wimbo wake wa kwanza 'Mitego' aliposema hawapendi wazazi wake then akihojiwa hatoi sababu za msingi za kuwachukia(ilimrad tu kutafuta attention).
**Ntakuja tena kuongezea list,nawe unaweza ukaweka wa kwako
mimi simpendi mrisho mpoto anajisikia sana halafu ana ubrazameni flani wa kishoga shoga.......
dah we jamaamimi simpendi mrisho mpoto anajisikia sana halafu ana ubrazameni flani wa kishoga shoga.......
Hemed katika maisha ya kawaida ni mtu poa na simple sana! kwa taarifa yako anavo behave namna ile ni kuzingua tu na wala hamaanishi..mwanzo nilikua namchukia sana kwa matendo yake nakumbuka nikaonana nae nikampa makavu akasema wala hayuko vile na nikweli nikaja kuonana nae Jangwani sea breeze na hata nyama choma...hana hizo hata kidogo ila kwakua ameshajua watu wengi hawafagilii na yeye ndo anakomesha hapo hapo..ila amepunguza baada ya kupata joto ya jiwe kupitia mitandao ndio maana yupo kama hayupo!
kwani we humkubali nani?hhaa nicheke HOE mie
ubrazameni na Mrisho mpoto wapi na wapi,mshamba tu kajua jiji basi anajifanya mjanjamimi simpendi mrisho mpoto anajisikia sana halafu ana ubrazameni flani wa kishoga shoga.......
Umewasahau petiti mani,Romy jones
aisee hemedi mashauzi yake siyapendagi hata kama ni movie yake siangalii abadilike na love diva na kipindi chake ana bana sauti yani hata simsikilizagi