Mastaa hawa siwapendi kabisa

Mastaa hawa siwapendi kabisa

Yani kama mimi hasa hao wakiume bora huyo wa kike maana jinsia inamruhusu.

Mie bana simpendi kweli Wema Sepetu,yani hiki kidada nakichukiaaa...halafu sioni hata huo uzuri ambao wengine wanamfagiliiiaaa..No.2 ni DOMO kubwa Diamond..,yani huyu jamaa bana basi tu. Mie hata mizikk yake nimekuja kuisikiliza kwa umakini hivi majuzi juzi tu,lakini waaalaa, No.3 ni Ray,jamaa nae tabia km za Hemed tu. Kuigiza hajui,mashauz tu ndo kaweka mbele. Nakumbuka alishawahi kuigiza film moja ambayo ilikuwa inafanana na ya Marehemu Kanumba ya Uncle J.J. ya huyu ---- Ray ilikuwa na akina Elizabeth Michael "LULU".
 
Kuna watu ambao nikionaga habari zao tu huwa nakunja ndita,nawapenda tu kama binadam wenzangu but siwapendi kama 'Public figure',tabia zao or the way walivyoupata ustaa wao vinanifanya nisiwakubali,hawa ni baadhi;

1. Hemedy: Jamaa ni attention seeker,anatabia za kikekike + za kishoga,anapenda kujisifia ujinga.

2. Diva wa Cloudz: Attention seeker,yaani yuko radhi kufanya chochote kibaya or kizuri ilimrad azungumziwe(kama Wema Sepetu,but sema watu hawanaga time naye wanampotezea tu),pia ni fake sana anapenda uzungu kupitiliza.

3. Ney Wa Mitego: Huyu hanaga uwezo wa kutunga wimbo ukahit bila kutaja majina ya mastaa au kuongea vitu vya ajabu ndani yake ili kupata attention,yaani sijawahi kumkubali kabisa.Alinichefua tokea alipotoaga wimbo wake wa kwanza 'Mitego' aliposema hawapendi wazazi wake then akihojiwa hatoi sababu za msingi za kuwachukia(ilimrad tu kutafuta attention).

**Ntakuja tena kuongezea list,nawe unaweza ukaweka wa kwako
Huyo no 2 no comments.
 
Namba 1 na 2 aisee umetisha kama upo akilini mwangu! Niliacha kusikiliza Claud fm kwasababu ya huyo mdada!! Na huyo mwenye hulka za kike movie yoyote ambayo ameshiliki siwezi kuiangalia ila nahisi jamaa anamegwa.
 
Hemed katika maisha ya kawaida ni mtu poa na simple sana! kwa taarifa yako anavo behave namna ile ni kuzingua tu na wala hamaanishi..mwanzo nilikua namchukia sana kwa matendo yake nakumbuka nikaonana nae nikampa makavu akasema wala hayuko vile na nikweli nikaja kuonana nae Jangwani sea breeze na hata nyama choma...hana hizo hata kidogo ila kwakua ameshajua watu wengi hawafagilii na yeye ndo anakomesha hapo hapo..ila amepunguza baada ya kupata joto ya jiwe kupitia mitandao ndio maana yupo kama hayupo!

We nae wale wale hata jna tu lajieleza pelekeni usharo huko
 
Mnh majanga usupastaa una kazi kweli hasa kwa wale ambao shule imepita pembeni. Ni shida tu
 
Hemed katika maisha ya kawaida ni mtu poa na simple sana! kwa taarifa yako anavo behave namna ile ni kuzingua tu na wala hamaanishi..mwanzo nilikua namchukia sana kwa matendo yake nakumbuka nikaonana nae nikampa makavu akasema wala hayuko vile na nikweli nikaja kuonana nae Jangwani sea breeze na hata nyama choma...hana hizo hata kidogo ila kwakua ameshajua watu wengi hawafagilii na yeye ndo anakomesha hapo hapo..ila amepunguza baada ya kupata joto ya jiwe kupitia mitandao ndio maana yupo kama hayupo!

wewe kweli unamjua bin suleiman..PHD!.............mtoto wa kihuni yule sema basi tu huamua kuzingua raia
 
Back
Top Bottom