kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,668
Kuna watu ambao nikionaga habari zao tu huwa nakunja ndita,nawapenda tu kama binadam wenzangu but siwapendi kama 'Public figure',tabia zao or the way walivyoupata ustaa wao vinanifanya nisiwakubali,hawa ni baadhi;
1. Hemedy: Jamaa ni attention seeker,anatabia za kikekike + za kishoga,anapenda kujisifia ujinga.
2. Diva wa Cloudz: Attention seeker,yaani yuko radhi kufanya chochote kibaya or kizuri ilimrad azungumziwe(kama Wema Sepetu,but sema watu hawanaga time naye wanampotezea tu),pia ni fake sana anapenda uzungu kupitiliza.
3. Ney Wa Mitego: Huyu hanaga uwezo wa kutunga wimbo ukahit bila kutaja majina ya mastaa au kuongea vitu vya ajabu ndani yake ili kupata attention,yaani sijawahi kumkubali kabisa.Alinichefua tokea alipotoaga wimbo wake wa kwanza 'Mitego' aliposema hawapendi wazazi wake then akihojiwa hatoi sababu za msingi za kuwachukia(ilimrad tu kutafuta attention).
**Ntakuja tena kuongezea list,nawe unaweza ukaweka wa kwako