Mastaa hawa siwapendi kabisa

Mastaa hawa siwapendi kabisa

Hemed katika maisha ya kawaida ni mtu poa na simple sana! kwa taarifa yako anavo behave namna ile ni kuzingua tu na wala hamaanishi..mwanzo nilikua namchukia sana kwa matendo yake nakumbuka nikaonana nae nikampa makavu akasema wala hayuko vile na nikweli nikaja kuonana nae Jangwani sea breeze na hata nyama choma...hana hizo hata kidogo ila kwakua ameshajua watu wengi hawafagilii na yeye ndo anakomesha hapo hapo..ila amepunguza baada ya kupata joto ya jiwe kupitia mitandao ndio maana yupo kama hayupo!

wanasema jamaa ana ugonjwa wa kunuka makwapa na utozi wote ule..je ni kweli?
 
Mmh kumbe unaweza mchukia mtu hata bila kugombana nae
 
Kuna watu ambao nikionaga habari zao tu huwa nakunja ndita,nawapenda tu kama binadam wenzangu but siwapendi kama 'Public figure',tabia zao or the way walivyoupata ustaa wao vinanifanya nisiwakubali,hawa ni baadhi;

1. Hemedy: Jamaa ni attention seeker,anatabia za kikekike + za kishoga,anapenda kujisifia ujinga.

2. Diva wa Cloudz: Attention seeker,yaani yuko radhi kufanya chochote kibaya or kizuri ilimrad azungumziwe(kama Wema Sepetu,but sema watu hawanaga time naye wanampotezea tu),pia ni fake sana anapenda uzungu kupitiliza.

3. Ney Wa Mitego: Huyu hanaga uwezo wa kutunga wimbo ukahit bila kutaja majina ya mastaa au kuongea vitu vya ajabu ndani yake ili kupata attention,yaani sijawahi kumkubali kabisa.Alinichefua tokea alipotoaga wimbo wake wa kwanza 'Mitego' aliposema hawapendi wazazi wake then akihojiwa hatoi sababu za msingi za kuwachukia(ilimrad tu kutafuta attention).

**Ntakuja tena kuongezea list,nawe unaweza ukaweka wa kwako

Dah mkubwa hili jina mbavu sina.
 
Mengine yote uko sawa ila kwa # Nay sijakubali labda tuko tofauti hapo mwongeze Airin Uyowa namchukia sijui kama nini. Anatabia ya kimalaya malaya then kujifagilia sana. Kuna siku nilimpa makavu Instagram mpaka alinikimbia na mashabiki wake.
 
kwenye hiyo list muongeze muathirika KIBONDE.
 
mm huyo diva cjui..ndo ctaki hata kumsikia yangu ananiboa ovyo
 
Back
Top Bottom