Mastaa hawa siwapendi kabisa

Mastaa hawa siwapendi kabisa

Mi' simpendi Sintah,huwa anazungumza kama hakwenda shule...nilimchukia zaidi cku alipohojiwa na Zamaradi kuhusu isue yake na Shilole,alikuwa akizungumza maneno ya kukera

Wa pili,my dia sista Baby Madaha...nampenda my dada bt mambo yake yananipa sintofahamu sometimes
 
Back
Top Bottom