Mastaa kujichubua

Mastaa kujichubua

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,186
Reaction score
7,184
Why kila demu akiwa maarufu
Anapiga kitaulo(kujichubua ambao wao wanasema kung'arisha ngozi)

katika ambao sikutegemea kuwa anaeza fanya ni huyu kidot, japo nimesikia profile yake upstairs ni div Five

……………Hebu team google warumi wengine wenye profile ya huyu mchuchu funguka.....
 

Attachments

  • 1412008945064.jpg
    1412008945064.jpg
    30 KB · Views: 512
Last edited by a moderator:
Watakuambia ni make up kwa uongo hawaa hawajamboo
 
Siku zinavozidi kwenda ndo ana poteza uelekeo ana kua ka wa division five
 
Masikini kidoti anafuata nyayo za madame...
 
Back
Top Bottom