Mastaa ndani ya JF

mr qns

Senior Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
193
Reaction score
197
Tafadhali nitajie watu maarufu waliopo humu JF,wamuziki ,bongomovie,wanamichezo,...nk mana naweza mkuta msanii wangu pendwa humu bila kutegemea nikawa karibu nae.

niliona post moja carol ndosi alitajwa bila kutegemea paap huyu hapa anajibu kila kitu,I was impressed! naskia lemutuz na mange pia walikuwemo humu ndipo walipoanzia harakati zao! so MTU gani maarufu mwingine aliwahi kuwemo humu au yumo zaidi ya watu hawa wakongwe maarufu wahumuhumu jf
 
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 

Star / Celeb ni Mwenyezi Mungu peke yake.
 
Tundu Lissu, Mnyika, Mwigulu Nchemba, Bashite, Kitila Mkumbo, Zitto Kabwe wote hao ni mastaa na wamo Jf wapo wengine wana akaunti feki wanachungulia tu na kuondoka mfano Diva wa ala za roho huwa analalamikiwa kucopy baadhi ya post huku na kuzitumia kwenye kipindi chake mnadhani anaonaje bila kuingia huku kwa siri?
 
we jamaa big up naona wengine hawataki kukubaliana na ukweli mwingine anapanik et hakuna staa humu,mwingine anamuhusisha mpaka Mungu humu.kama we we sio staa hata kwa demu wako tulia tu.no matter where ua kwenye wengi lazima kunakua na wale watu mashuhuri,hata humu JF kuna mastaa wake bhana ambao ukisema tu kila MTU anamjua kama kina joseverest nk take it easy pipo [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…