Mastaa ndani ya JF

Mastaa ndani ya JF

Tafadhali nitajie watu maarufu waliopo humu JF,wamuziki ,bongomovie,wanamichezo,...nk mana naweza mkuta msanii wangu pendwa humu bila kutegemea nikawa karibu nae.

niliona post moja carol ndosi alitajwa bila kutegemea paap huyu hapa anajibu kila kitu,I was impressed! naskia lemutuz na mange pia walikuwemo humu ndipo walipoanzia harakati zao! so MTU gani maarufu mwingine aliwahi kuwemo humu au yumo zaidi ya watu hawa wakongwe maarufu wahumuhumu jf
Huyo jamaa ulimyetaja ana umaarufu gani? Le mburula na Mange ulivyowataja tu nimewajua, nipe jibu nikupe I'd hadi ya Bashite humu ndani
 
sasa watu tunatumia id fake, alafu unataka wakutajie real idenditity
 
Tafadhali nitajie watu maarufu waliopo humu JF,wamuziki ,bongomovie,wanamichezo,...nk mana naweza mkuta msanii wangu pendwa humu bila kutegemea nikawa karibu nae.

niliona post moja carol ndosi alitajwa bila kutegemea paap huyu hapa anajibu kila kitu,I was impressed! naskia lemutuz na mange pia walikuwemo humu ndipo walipoanzia harakati zao! so MTU gani maarufu mwingine aliwahi kuwemo humu au yumo zaidi ya watu hawa wakongwe maarufu wahumuhumu jf
HANCE MTANASHATI
 
TUNDA SABASITA ,KIFESI, etc
 
Batuli,Jamal Malinzi,Godbless Lema
 
Back
Top Bottom