Mastaa saba Bongo wanaoetembelea magari ya kifahari

Tupe wewe hesabu sahihi basi......

Hiyo ya Diamond $62850 hajasema ni sawa na 150 million amesema inayokaribia na 150 million tambua hilo....

Then $60000 sawa na Tsh ngapi??

Hata mm nilimwambia hvyo hvyo, nikasema nisimbishie labda mwenzangu anafanya kazi bureau de change anajua mambo ya ma dollari kumbe ni sawa tu? Khaaa!!!
 
Hata mm nilimwambia hvyo hvyo, nikasema nisimbishie labda mwenzangu anafanya kazi bureau de change anajua mambo ya ma dollari kumbe ni sawa tu? Khaaa!!!

Ukiona MTU anakosoa bila kuweka anachoona ndicho sahihi ujue anafanya assumptions tu....
 
Diamond anamiliki BMW ya $62850=mil 150....

Lady JD anamiliki Range Rover Evoque $60000=mil 100.hii ni hesabu ya wapi warumi?

Kama rate ya $ni 1800 pesa za madafu basi yuko right kabisa maana ka Jide hilo gari lilikuwa linauzwa 108M kusema amenunua 100M hakuna kosa maana kuna uwezekano wa kuwepo kwa Discount....! Labda useme ulikuwa unafikiri kwa hesabu zipi?
 
Last edited by a moderator:
Kama WASTARA hayupo kwenye list nitakuwa wa mwisho kuamini! Vitz yake aliyo inunua mil 45 au kuna vingezo vya ziada vinaangaliwa
 
Ahaha!! Ndo namsubir apa, yani binamu yangu yule toka atoke uko USA anaringaje? Siku izi anajifanya sio mbea kabisa we muache tu

USA ya arusha hapo ndio anajishaua?siku hizi yeye ni mtu wakulike tu comments
 
Babu Tale alisema ilebndinga ya diamond ilinunuliwa milioni 90
 
Mmesahau usafiri wa King kiba ni wa bei ghali sana....Boxer Bm 150

mtoto wa haramu hata ukimficha vipi kwenye chupa...yupo radhi ajiviringeviringe mpaka chupa idondoke ivunjike ili tu aonekane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…