Hivi ana gari kwelii huyooo???
Gari lake ni miguu yake
Mi nimeshajikubali mbea, sasa yeye anapenda umbea halafu anajifanya hapend
Nimemsahau binamu yangu Dinazarde anayemiliki Toyota IST promotion ya ahsante Airtel
Hivi ana gari kwelii huyooo???
warumi umetumwa?? rudi huko huko ulipojia nakuambia, moja...... mbili......ta.....Hilo nalo swali, mie toka namjua kiba sijawahi kuona gari lake au hana yule?? Mmh!! Au usikute anaendesha vits yule
Hapend show off au hana binamu??
Ngoja tuone team yake watajibuje wasipojibu ujue hana maana kwenye listi hayupo duuuuuuuu mbutananga!!!
Nimemsahau binamu yangu Dinazarde anayemiliki Toyota IST promotion ya ahsante Airtel
$62850= Tsh1600 X 62850=100,560,000. Bt 1600 ni average inaweza zid au kupungua kwa rate ndogo kutokana Msimamo wa $ .