Mastaa saba Bongo wanaoetembelea magari ya kifahari

Mastaa saba Bongo wanaoetembelea magari ya kifahari

Hilo nalo swali, mie toka namjua kiba sijawahi kuona gari lake au hana yule?? Mmh!! Au usikute anaendesha vits yule
warumi umetumwa?? rudi huko huko ulipojia nakuambia, moja...... mbili......ta.....
 
Last edited by a moderator:
Mie namiliki misukule miwili na mfugo (fisi) mmoja, special kwa ajili ya usafiri wa kunipeleka umbeani.
 
Bora ungeuliza msanii mwenye nyumba mzur, Ila ndinga za kupewa na akina Musofe...? Usiwaogope hawana kadi
 
$62850= Tsh1600 X 62850=100,560,000. Bt 1600 ni average inaweza zid au kupungua kwa rate ndogo kutokana Msimamo wa $ .
 
$62850= Tsh1600 X 62850=100,560,000. Bt 1600 ni average inaweza zid au kupungua kwa rate ndogo kutokana Msimamo wa $ .

Current xchange rate ni $1=1835...but that time wao walinunua hayo magari was $1=1600-
 
Back
Top Bottom