tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Ila source haikusema kuwa hiko kiasi ni sawa na shilling ngapi Bali walikadiria tu kuwa ni sawa na dollar kadhaa
Hayo mahesabu y bmw y mama ubaya hatari hiyo gari cif 5000$ mpka 7000$ sbt japan sasa hata ukilipa kodi haifiki 30m magazeti y udaku yanaongeza figure balaa,prado ya wolper ni shortchasis wanasema 65m na ndefu itauzwaje?yard hapo dar ndefu unapata kuanzia 48m mpka 55m wengine utakuta hayo magari hawana kadi wanaishi hisani
Ila wolper kajitahid kukaa na hlo prado, toka mwaka juz au jana mwanzon kama sikosei, halafu analipenda gari lake balaa, safii