Mastaa saba Bongo wanaoetembelea magari ya kifahari

Ila source haikusema kuwa hiko kiasi ni sawa na shilling ngapi Bali walikadiria tu kuwa ni sawa na dollar kadhaa

Hayo mahesabu y bmw y mama ubaya hatari hiyo gari cif 5000$ mpka 7000$ sbt japan sasa hata ukilipa kodi haifiki 30m magazeti y udaku yanaongeza figure balaa,prado ya wolper ni shortchasis wanasema 65m na ndefu itauzwaje?yard hapo dar ndefu unapata kuanzia 48m mpka 55m wengine utakuta hayo magari hawana kadi wanaishi hisani
 
Ila wolper kajitahid kukaa na hlo prado, toka mwaka juz au jana mwanzon kama sikosei, halafu analipenda gari lake balaa, safii
 
Hiyo gari naskia alinunua kwa hela yke mwenyewe ndio mana anajua uchungu wke.naskia alienda trip y sembe macau alivyorudi ndio akanunua hlo gari
 
Nashangaa bei za magari mnazitoa wapi? Au kila msanii ana bei yake?
Diamond alipokuwa na ile VX ya cheif Kiumbe mlisema thamani yake ni 250ml na ndiyo hiyo hiyo anayotumia Masanja sasa imekuwa 75ml.
 
BMW ya Diamond $62,850 sawa na 150milion. RR ya Jide $60,000 sawa 100milioni!! Sijui exchange rate ya ngapi imetumika!? Maana tofauti ni $2,850 tuu.
 
Back
Top Bottom