The Ideologist
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 486
- 256
nina follower 14k like 100k hadi mimi mwenyewe nashangaa sometime
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we jamaa ni wa iringa eeehWatu bhana....
Ehe kwahiyo unawasaidiaje mastaa hawa mav.i kunuka ili wapate followers ambao sio vivuli?
Hahaha...kwann mkuu?we jamaa ni wa iringa eeeh
naona kama swaga za mnyama flani ivi alimaliza six mwaka janaHahaha...kwann mkuu?
mwenyewe nshauza ya 10kSikubaliani na hii pumba
Dah hapana man,hayo ni makoinsidensi tu.naona kama swaga za mnyama flani ivi alimaliza six mwaka jana
basi poa nkazani wewe ni wale wa kamwene munogileDah hapana man,hayo ni makoinsidensi tu.
Mi ni mkali wa donta.
Nasikia wanakula dog wale.basi poa nkazani wewe ni wale wa kamwene munogile
acha ubaguzi mkuu kwani dog si wanyamaNasikia wanakula dog wale.
nakupenda we ni mbunifu una akili ya biasharaUnauzaje na mimi nifungue acc nyingi nyingi niziuze
Post picha za kama kina masogange, likes lazima ziwe za kutoshaMkuu mimi sijanunua follower hata mmoja, ninao kama 18k ila nikipost kitu napata likes hazifiki hata 150 sasa piga hesabu hapo (150/18,000 zaidi ya wapuuzi 17,850 wapo wapo tu wamejaza nafasi) hiki ni kitu cha kawaida..