Mastaa wa filamu waliolazimishwa kuingia kwenye fani

Sema anaboa anavyojifanya anajua kila kit,much know sana yule halaf kimekomaa ndo maana hakitongozwi

Yaani anapiga makelele Sana we mcheki kwenye ile muvi ya Kanumba ya mwisho kabla kifo yaan cjapenda kabisa
 
hapo kwenye red huwatendei haki..

Wanapiga makelele Sana kwenye muvi zao mi naona wanalazimisha tu...ili upnekane upo serious huitaji kupiga makelele
 
Me mwenzenu na bongo movie tuko tofauti siangaliagi kabisaaa wasanii wengi wa hyo tathnia nawajulia kweny magazet ta udaku
 
Me mwenzenu na bongo movie tuko tofauti siangaliagi kabisaaa wasanii wengi wa hyo tathnia nawajulia kweny magazet ta udaku

Ukiwa unafuatilia thread zangu utawajua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…