Mastaa wa muziki, kwanini mwafanya hivi?

mhuni

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
955
Reaction score
592
kwa mara kadhaa nakuwa nahuzunishwa sana na wasanii wa mziki hasa kwa instagram yaan unakuta msanii amepost kitu umelike na kucomment na umemtag kwa kumuuliza kitu lakin hakujibu

nimeshanga sana leo tarehe 7 mwez wa saba 2015 kuna msanii anatoa wimbo kesho tarehe 8 sasa kila superstar akipost cover ya wimbo wake lazma nayeye acomment kwa kumshukuru alivyopost lakin apost mtu mwingn tofaut na star hata comment yake hauioni naomba mbadilike

nampongeza sana frolah mvungi aka h mama huyu anajitahid sana kucomment kwa watu mbalimbali hata kwenye account yake ukimtag na kumuuliza kitu anakujibu

wengne wasanii mbadilikeee
 
Ay na Prof J wanajitahidi sana kwenye hicho kitengo. Hawana nyodo kwakweli, hata kulike wana like hawana shobo na mtu..!!

BACK TANGANYIKA
 
Flora mvungi yuko poa sana,hata post za kawaida za watu anacoment
 
vitu vingine hivyo visikuumize kichwa bwanaa!
 
Wewe mtoa mada inawezekana ubongo wako umepata mtikisiko bila ya wewe kujua.....baada ya kushghulika na mambo yako wewe unashughulika na mambo ya wenzio.....
Kumbuka unavyochunguza ya watu ndivyo unachelewa kufanya yako....
 
mbona jina la kawaida sana Ynaa
 
Last edited by a moderator:
[COROL=yellow]naomba unifundishe jins ya kuedit niondoe jina la mwanzo Ynaa[/color]
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…