Hiyo listi hapo simfahamu hata mmoja. Naowafahamu tu ni mastaa wa hapa JF!
Kanumba kafanya nini cha kutia aibu?wema sepetu
diamond
kanumba
jack
ray
bob junior
wolper
nisha
aunt ezekiel
lulu
kabula
rehema
hawa nyekundu still wako active na vituko vyao kwa kweli nikiwa kama mtanzania naomba mjaribu kubadilika umaarufu wenu autakuwa na maana kama mtakuwa mnajizalilisha kila mwaka
Aisee haka kamchina kangu hakana option ya LIKE! Nashindwa kukugongea like!asante anang'ang'ana na watu ambao wala dunia zetu hazigongani
Hiyo listi hapo simfahamu hata mmoja. Naowafahamu tu ni mastaa wa hapa JF!
asante anang'ang'ana na watu ambao wala dunia zetu hazigongani
mara nyingi huwa sielewi posts za Pdiddy...
sijui nina shida gani tu kumkichwa