mastaa waliotia aibu ya mwaka 2011 Tanzania

mastaa waliotia aibu ya mwaka 2011 Tanzania

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
wema sepetu
diamond

kanumba
jack
ray
bob junior
wolper
nisha
aunt ezekiel
lulu
kabula
rehema

hawa nyekundu still wako active na vituko vyao kwa kweli nikiwa kama mtanzania naomba mjaribu kubadilika umaarufu wenu autakuwa na maana kama mtakuwa mnajizalilisha kila mwaka
 
hivi pdidy, wewe huwa ni msichana au mvulana?
Kutwa kucha na hawa watu, wengine unaturusha masaburi bure
peleka basi jukwaa la celebritiz
 
Hiyo listi hapo simfahamu hata mmoja. Naowafahamu tu ni mastaa wa hapa JF!
 
wema sepetu
diamond

kanumba
jack
ray
bob junior
wolper
nisha
aunt ezekiel
lulu
kabula
rehema

hawa nyekundu still wako active na vituko vyao kwa kweli nikiwa kama mtanzania naomba mjaribu kubadilika umaarufu wenu autakuwa na maana kama mtakuwa mnajizalilisha kila mwaka
Kanumba kafanya nini cha kutia aibu?
 
mara nyingi huwa sielewi posts za Pdiddy...
sijui nina shida gani tu kumkichwa
 
Hawa ni Movie stars tu, bado Musicians, footballers and others,,,,,
 
Kwani na ww ktk mwaka huu hakuna jambo la aibu ulilofanya?
 
mara nyingi huwa sielewi posts za Pdiddy...
sijui nina shida gani tu kumkichwa

Kumbe siyo mimi mwenyewe,nilidhani niko mwenyewe!hakika some times natoka kapa kabisa
 
Great thinkers wanajadili mambo ya msingi, si kuwadiscuss wasio na tija ktk jamii yetu! Mastaa watakuwa hao....?nn mwanao atakuja kujifunza kwa sijui wema sepetu.tuongee mambo ya msingi!!!!
 
Na wewe hujatia aibu?
Kazi kushupalia ya wengine tu.
 
Mh. Unaturusha! Headin' nzito contents nyepesi! Utauliza kivipi?
Ni kihivi ukitaka statistics za mastaa waliotuaibisha 2011 ukawaacha Taifa Stars utakua hujatutendea haki katika taarifa yako.
Kumbuka hao kina W. Sepetu wamekera idadi ya Wa- Tz wachache sana sidhani kama watazidi watu 1 Ml, lakini Taifa Stars wamekera kundi kubwa sana la wa- Tz! Hutaki ndiyo hivyo, wataka ndiyo hivyo.
Mi natambaa mitaa ya mbele.
 
Back
Top Bottom