Mkuu naomba nikiri,kwenye hii list simjui hata mmoja.wema sepetu
diamond
kanumba
jack
ray
bob junior
wolper
nisha
aunt ezekiel
lulu
kabula
rehema
hawa nyekundu still wako active na vituko vyao kwa kweli nikiwa kama mtanzania naomba mjaribu kubadilika umaarufu wenu autakuwa na maana kama mtakuwa mnajizalilisha kila mwaka
wema sepetu

Kanumba kafanya nini cha kutia aibu?
kwahiyo mastaa ni hao waiga movie za nigeria tu?
kwahiyo mastaa ni hao waiga movie za nigeria tu?
pdidy leo airport kuna mpya gani huko?
mara nyingi huwa sielewi posts za Pdiddy...
sijui nina shida gani tu kumkichwa