mastaa waliotia aibu ya mwaka 2011 Tanzania

mastaa waliotia aibu ya mwaka 2011 Tanzania

wema sepetu
diamond

kanumba
jack
ray
bob junior
wolper
nisha
aunt ezekiel
lulu
kabula
rehema

hawa nyekundu still wako active na vituko vyao kwa kweli nikiwa kama mtanzania naomba mjaribu kubadilika umaarufu wenu autakuwa na maana kama mtakuwa mnajizalilisha kila mwaka
Mkuu naomba nikiri,kwenye hii list simjui hata mmoja.
 
Bongo hakunaga star ila kunawa2 ambao wanajulikana.weka vigezo ulivyo tumia kuwaita ma star.wema,kingwendu,diamond,kanumba wote walewale tu.
 
Kanumba kafanya nini cha kutia aibu?

VINCENT KIGOSI ‘RAY’ NA STEVEN KANUMBA
Hawa ni nyota wa filamu za Kibongo ambao awali walikuwa marafiki wa kupindukia, lakini walitia aibu baada ya kuingia kwenye bifu zito chanzo kikiwa ni kutambiana kuhusu magari yao ya kifahari waliyonunua wakishindana kwa kila mmoja kudai lake la gharama kubwa.
Inadaiwa bifu lao bado linaendelea. Wakati huo huo, Kanumba ameshanaswa akigandana na demu usiku mwingi hali iliyozua utata
 
kwahiyo mastaa ni hao waiga movie za nigeria tu?
 
Pdidy leo airport kuna mpya gani huko?

shoga kapita na shanga mguuni na kiunoni security hata mmoja ajazisikia wala kuziona amefika juu anaomba asachiwe kiunoni mpwa
shuguli watu wanatafutanaa
 
Back
Top Bottom