Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
- #41
Tanzania au we n mkenya?Mastaa wa wapi hao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania au we n mkenya?Mastaa wa wapi hao?
Heeehh!;[emoji2]mkuu we ndo unaipeleka dunia speed kwa mawazo yakoWewe mleta mada kuna mmoja wao hapo unamtamani. Dunia inaenda speed Sana.
WOTE ukimaanisha Nan na nanMbona hao wote ustaa wao una uhusiano na Mambo ya jinsia Ke!
ImefanyajeNilivyoona avatar yako tu nikafuta nilichotaka kukoment...
Kua professional Sasa wali naz ndo nn n Nanwali nazi
Mkuu izo maana unazijua wewe na watu wako au na wenzioDuh Top Tz, ila top na bottom wote kwa lugha moja tunawaita ni mashog*
Kikawaida ukijitambulisha kuwa wa wewe ni top watu watawaza hivyo unless useme mimi ni top artists, top athlete, top freelancer ila ukisema top tz watu watatafsiri tofauti na tena umeweka avatar ya ma six pack ndo kabisaMkuu izo maana unazijua wewe na watu wako au na wenzio
Ninachokijua mpaka Sasa n hikiView attachment 1550353
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Rudi kijijini.
🤣🤣🤣🤣🤣kaenda mbali zaidi avatar yake njemba limekaa kifua wazi
Kufanyaje mkuuRudi kijijini.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya kusoma hii komenti yako imebidi nirudi kuangalia, mimi mwenyewe nahisi nimeelewa ila sina hakika kama nimeelewa kama wengine
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mpigie kura Hashim rungwe ule ubwabwa ukalale
Kinachoangaliwa Ni mtu kuwa na Kiki au kazi yake?Kufanyaje mkuu
Ana undugu na James huyoList inawalakini lakini ID yako ina walakini zaidi
Unatumia vigezo gan kudraw conclusionAna undugu na James huyo
Kua professional Sasa wali naz ndo nn n Nan
WOTE ukimaanisha Nan na nan
Ukizitafakari izo comments haina aja ya kujiuliza mara mbiliHeeehh!;[emoji2]mkuu we ndo unaipeleka dunia speed kwa mawazo yako