Mastaa wasio na makuu 2020

Mkuu izo maana unazijua wewe na watu wako au na wenzio

Ninachokijua mpaka Sasa n hikiView attachment 1550353
Kikawaida ukijitambulisha kuwa wa wewe ni top watu watawaza hivyo unless useme mimi ni top artists, top athlete, top freelancer ila ukisema top tz watu watatafsiri tofauti na tena umeweka avatar ya ma six pack ndo kabisa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya kusoma hii komenti yako imebidi nirudi kuangalia, mimi mwenyewe nahisi nimeelewa ila sina hakika kama nimeelewa kama wengine
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…