Ongezea na Renee. dahDah lost boys washakuja Bongo ?? Ilikua mwaka gani ?
Halafu wamepotea kama jina lao ,majina kweli huumba
Nikimsikiliza Mr Cheeks kwenye nyimbo zao Me and my crazy world na rising to the top ,ananipa raha sana
Ongezea na Renee from the Album Love Peace &happynes! R.I.P Freeky Tah.Dah lost boys washakuja Bongo ?? Ilikua mwaka gani ?
Halafu wamepotea kama jina lao ,majina kweli huumba
Nikimsikiliza Mr Cheeks kwenye nyimbo zao Me and my crazy world na rising to the top ,ananipa raha sana
Huyu kakaman ana kipaji sana as nyimbo zake zina-reflect uhalisiaBudagala
Kakaman
Mwaka'98 pale "sebuleni" Bills mpaka watu wakamwibia Mr.cheeks peteLost Boyz mwaka 98' kama sijakosea walikuja bongo wakapiga concert wakitokea Nairobi na Sugu (Mr. II) alibahatika kupanda stejini nae akafanya mambo.
yes , this is onePatrick Balisidya
Kukulu kakala zako wewee zitakuponza acha we acha wee.Sosi B ....huyu jamaa aninikumbusha jinsi bongo fleva ilivyostruggle kutoka chini hadi kuja kukubalika kwenye medani ya muziki....maana enzi zile ilikua mabozouk tu...