Mastaa wasiopata hadhi wanazostahili Tanzania

Mastaa wasiopata hadhi wanazostahili Tanzania

Dah lost boys washakuja Bongo ?? Ilikua mwaka gani ?
Halafu wamepotea kama jina lao ,majina kweli huumba

Nikimsikiliza Mr Cheeks kwenye nyimbo zao Me and my crazy world na rising to the top ,ananipa raha sana
Ongezea na Renee. dah
Dah lost boys washakuja Bongo ?? Ilikua mwaka gani ?
Halafu wamepotea kama jina lao ,majina kweli huumba

Nikimsikiliza Mr Cheeks kwenye nyimbo zao Me and my crazy world na rising to the top ,ananipa raha sana
Ongezea na Renee from the Album Love Peace &happynes! R.I.P Freeky Tah.
 
Charles Katembo na Riwaya ya Pablo zungu gazeti la tabasamu cjui bongo lile kumbukumbu sina
 
Sosi B ....huyu jamaa aninikumbusha jinsi bongo fleva ilivyostruggle kutoka chini hadi kuja kukubalika kwenye medani ya muziki....maana enzi zile ilikua mabozouk tu...
Kukulu kakala zako wewee zitakuponza acha we acha wee.
Dah yupo wapi uyu jamaa?
 
Back
Top Bottom