RIC WA KISHETI
Member
- Jun 30, 2015
- 38
- 14
MH,SUGU: Muite rais wa Mbeya,aka Sugu huyu ndo anaaminika kuwa mwanzilishi wa hip hop ya Tz,hitmaker huyu wa Haki,mikononi mwa polisi,aliwahi kuwaleta lost boyz,na pia aliwahi kutoa albamu yake nchini holland.Mpaka leo hapati hadhi yake stahiki.
HAYATI MTOTO WA DANDU: Hayati ng`wana Maria,Nzoka Ihenge ni staa ambaye aliipoteza roho yake kwa ajali ya gari.Mtoto wa Dandu ndiye aliyetoa wazo la uanzishwaji wa tunzo za Kilimanjaro na tena alitumia jina Kilimanjaro ili kutangaza mlima wetu huu ambao ni tourism attraction.Basata mpaka leo hawampi credit zake mbunifu wa tuzo hizi za KTMA.
PROF JAY: MC shupavu,mzee wa mitulinga huyu ni msanii wa kwanza wa hip hop aliyefuta dhana ya kuwa mziki especially hip hop ni uhuni kwani kupitia tungo zake za Bongo dar es salaam,ndio mzee,sio mzee na zingne ziliwakuna sana wazazi wengi kuanza kuuthamini mziki wa hip hop ya Bongo katika wimbo wa NAZEEKA SASA,prof anajinasibu Kuwa unabisha?Mimi ndo nilimshawishi baba yako akuruhusu uimbe."
HAYATI BEN R MTOBWA: Mikononi mwa nunda,pesa zako zinanuka,tutarudi na roho zetu,joram kiango lazima ufe na riwaya zingine zingeweza kukufanya uipende fasihi ya kiswahili.hakika huyu alikuwa ni gwiji wa fasihi ambaye amewahi kutokea nchini mwetu.
KGT WA G RECORDS: Ali kiba,Pasha na wasanii wengi wa bongofleva wamepitia kwenye mikono ya produzya huyu lakini mpaka leo hajawahi kupata hadhi yake stahiki.
RAY&JB: Hawa ni magwiji wawili kwenye tasnia ya filamu ambao wameweza kuanzisha kampuni zao binafsi na kuajiri vijana wengine nchini.Lakini jambo hili halijawahi kuzungumziwa sana na media zetu.
DJ STEVE B: Huyu ndiye aliyeubatiza muziki wa kitanzania uliochipuka mwanzoni mwa miaka ya 90 kwa kuuita ladha za bongo(BONGO FLEVA).
ALI KIBA: Mtoto wa kariakoo ni balozi wa kupinga poaching nchini mwetu lakini jambo hili halizungumzwi zaidi na media zetu ambazo ziko busy kuunzungumzia uhusiano wake na jokate.
DIAMOND PLATNUMZ: Chibu bin laden van dangote ameanzisha studio yake ya WASAFI RECORDS ambapo underground wanarekodiwa bure nyimbo zao na Jumatatu hii kamtoa msanii wa kwanza harmonize,ni dangote huyuhuyu aliyetoa wazo la kuanzishwa east africa top ten kwenye tv ya soundcity nchini Nigeria.Lakini vyombo vyetu vya habari hupenda kuzungumzia negativity zake zaidi kuliko mazuri yake.
ONGEZA NAWE PIA MASTAA AMBAO HAWAPATI HADHI ZAO STAHIKI [waliohai na waliokwisha pumzika kwa amani]