saleni
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 1,880
- 2,843
Nyumba zenyewe za kupanga, kwao choka, wasijenge vibanda vyao, kazi kujimwambafai.Hivi hawa wana hela za kuchezea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba zenyewe za kupanga, kwao choka, wasijenge vibanda vyao, kazi kujimwambafai.Hivi hawa wana hela za kuchezea?
Wema ile mihela alikuwa anatapanya sasa hivi angekuwa hata Na ghorofa goba..Nyumba zenyewe za kupanga, kwao choka, wasijenge vibanda vyao, kazi kujimwambafai.
Kweli, upele uwapata wasiokuwa na kucha, yule Maisha aliyopitia angekuwa mbali kweli.Wema ile mihela alikuwa anatapanya sasa hivi angekuwa hata Na ghorofa goba..
Hawajifunzi
Giggy ana miaka 24? Hebu kuweni serious bas lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si haba kwa chizi maarifa kama yeye, kazi iendelee. View attachment 1822107